Ibrahim mwenye umri wa miaka 27 hajaruhusiwa kumaliza elimu yake ya shule ya msingi
Ibrahim Sadić anatoka Čelić huko Bosnia-Herzegovina. Ana umri wa miaka 27 na bado hajamaliza shule ya msingi. Ibrahim amegundulika kuwa na Cerebral Palsy (CP).